Kijah-Hut

Kijah-Hut ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Malaysia inayozungumzwa na Wajah-Hut. Mwaka wa 2008 idadi ya wasemaji wa Kijah-Hut imehesabiwa kuwa watu 3760. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kijah-Hut iko katika kundi la Kiaslian.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy