Kijakun

Kijakun ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia inayozungumzwa na Wajakun. Mwaka wa 2008 idadi ya wasemaji wa Kijakun imehesabiwa kuwa watu 25,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kijakun iko katika kundi la Kimalayiki.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy