Kijara

Kijara (au Kijera) ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Wajara. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kijara imehesabiwa kuwa watu 46,300. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kijara iko katika kundi la Kichadiki.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy