Kijaunsari

Kijaunsari ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wajaunsari. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kijaunsari imehesabiwa kuwa watu 100,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kijaunsari iko katika kundi la Kiaryan.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy