Kijoba

Kijoba ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wajoba. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kijoba imehesabiwa kuwa watu 10,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kijoba iko katika kundi la J50.


From Wikipedia, the free encyclopedia ยท View on Wikipedia

Developed by Tubidy