Kijonkor-Bourmataguil

Kijonkor-Bourmataguil ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Chad inayozungumzwa na Wajonkor. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kijonkor imehesabiwa kuwa watu 1500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kijonkor-Bourmataguil iko katika kundi la Kichadiki.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy