Kikairak

Kikairak ni lugha ya Kipapua nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wakairak. Mwaka wa 2012 idadi ya wasemaji wa Kikairak imehesabiwa kuwa watu 900. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikairak iko katika kundi la “East New Britain”.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy