Kikajakse

Kikajakse ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Chad inayozungumzwa na Wakajakse. Mwaka wa 1983 idadi ya wasemaji wa Kikajakse imehesabiwa kuwa watu 10,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikajakse iko katika kundi la Kichadiki.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy