Kikamwe

Kikamwe ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Wakamwe. Mwaka wa 1992 idadi ya wasemaji wa Kikamwe imehesabiwa kuwa watu 300,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikamwe iko katika kundi la Kichadiki.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy