Kikeiyo

Kikeiyo (au Kielgeyo) ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Kenya inayozungumzwa na Wakeiyo, kabila moja la Wakalenjin. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kikeiyo imehesabiwa kuwa watu 314,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikeiyo iko katika kundi la Kinilotiki.


From Wikipedia, the free encyclopedia ยท View on Wikipedia

Developed by Tubidy