Kikelo

Kikelo ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan inayozungumzwa na Wakelo. Idadi ya wasemaji wa Kikelo imehesabiwa kuwa watu 200 tu yaani lugha imekaribia kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikelo iko katika kundi la Sudaniki-Mashariki.


From Wikipedia, the free encyclopedia ยท View on Wikipedia

Developed by Tubidy