Kikendem

Kikendem ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wakendem. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kikendem imehesabiwa kuwa watu 15000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikendem iko katika kundi la Kimamfe ambalo linafanana na lugha za Kibantu.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy