Kikhamba

Kikhamba ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi inayozungumzwa na Wakhamba. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kikhamba imehesabiwa kuwa watu 1330. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikhamba haijaainishwa.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy