Kikujarge

Kikujarge ni lugha nchini Chad inayozungumzwa na Wakujarge. Mwaka wa 1983 idadi ya wasemaji wa Kikujarge imehesabiwa kuwa watu 1000 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikujarge hakijaainishwa na kimeonekana kuwa lugha ya pekee bila familia ya lugha nyingine zilizobaki duniani.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy