Kikuwaataay

Kikuwaataay ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Senegal inayozungumzwa na Wajola. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kikuwaataay imehesabiwa kuwa watu 6210. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikuwaataay iko katika kundi la Kiatlantiki.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy