Kilamang

Kilamang ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Walamang. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kilamang imehesabiwa kuwa watu 40,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilamang iko katika kundi la Kichadiki.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy