Kimakolkol

Kimakolkol ilikuwa lugha ya Kipapua nchini Papua Guinea Mpya iliyozungumzwa na Wamakolkol. Siku hizi hakuna wasemaji wa Kimakolkol tena, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimakolkol iko katika kundi la “East New Britain”.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy