Kimanem

Kimanem ni lugha ya Kipapua nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wamanem. Mwaka wa 1988 idadi ya wasemaji wa Kimanem imehesabiwa kuwa watu 2200. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimanem iko katika kundi la Kiwaris.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy