Kimaridan

Kimaridan ni lugha ya Kidaly nchini Australia inayozungumzwa na Wamaridan katika jimbo la Northern Territory. Mwaka wa 2005, kulikuwa na wasemaji wa Kimaridan kumi tu, yaani lugha imekaribia kutoweka hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimaridan kiko katika kundi la Kibringen.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy