Kimarind

Kimarind ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamarind. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kimarind imehesabiwa kuwa watu 7000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimarind iko katika kundi lake lenyewe la Kimarind.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy