Kimarti-Ke

Kimarti-Ke ni lugha ya Kidaly nchini Australia inayozungumzwa na Wamarti-Ke katika jimbo la Northern Territory. Mwaka wa 2001, kulikuwa na wasemaji wa Kimarti-Ke watatu tu, yaani lugha imekaribia kutoweka hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimarti-Ke kiko katika kundi la Kibringen.


From Wikipedia, the free encyclopedia ยท View on Wikipedia

Developed by Tubidy