Kimbedam

Kimbedam ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Kamerun inayozungumzwa na Wambedam. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kimbedam imehesabiwa kuwa watu 6000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimbedam iko katika kundi la Kichadiki.


From Wikipedia, the free encyclopedia ยท View on Wikipedia

Developed by Tubidy