Kimemoni

Kimemoni ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Pakistan inayozungumzwa na Wamemoni. Idadi ya wasemaji wa Kimemoni haijulikani lakini hasa ni watu wazima, yaani lugha imo hatarini mwa kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimemoni kiko katika kundi la Kiaryan.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy