Kimwaghavul

Kimwaghavul (pia Kisura au Kimupun) ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Wamwaghavul. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kimwaghavul imehesabiwa kuwa watu 295,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimwaghavul iko katika kundi la Kichadiki.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy