Kinambya

Kinambya ni lugha ya Kibantu nchini Zimbabwe inayozungumzwa na Wanambya. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kinambya imehesabiwa kuwa watu 90,000. Pia kuna wasemaji 15,000 nchini Botswana. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kinambya iko katika kundi la S10.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy