Kinamla

Kinamla ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Wanamla. Mwaka wa 2005 idadi ya wasemaji wa Kinamla imehesabiwa kuwa watu 30 tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kinamla haihusiani na lugha nyingine ila labda Kitofanma.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy