Kinancere

Kinancere ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Chad inayozungumzwa na Wanancere. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kinancere imehesabiwa kuwa watu 81,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinancere iko katika kundi la Kichadiki.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy