Kinarau

Kinarau ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Wanarau. Idadi ya wasemaji wa Kinarau haijulikani. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kinarau iko katika kundi la Kikaure. Wengine huiangalia kuwa lugha sawasawa na Kikosare.


From Wikipedia, the free encyclopedia ยท View on Wikipedia

Developed by Tubidy