Kinatioro

Kinatioro ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Burkina Faso inayozungumzwa na Wanatioro. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kinatioro imehesabiwa kuwa watu 2400. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinatioro iko katika kundi la Kigur.


From Wikipedia, the free encyclopedia ยท View on Wikipedia

Developed by Tubidy