Kinchumbulu

Kinchumbulu ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Ghana inayozungumzwa na Wanchumbulu. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kinchumbulu imehesabiwa kuwa watu 1800. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinchumbulu iko katika kundi la Kikwa.


From Wikipedia, the free encyclopedia ยท View on Wikipedia

Developed by Tubidy