Kindam

Kindam ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Chad inayozungumzwa na Wandam. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kindam imehesabiwa kuwa watu 6500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kindam iko katika kundi la Kichadiki.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy