Kinde-Gbite

Kinde-Gbite ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wande na Wagbite. Idadi ya wasemaji wa Kinde-Gbite haijulikani. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinde-Gbite iko katika kundi la Grassfields linalofanana na lugha za Kibantu.


From Wikipedia, the free encyclopedia ยท View on Wikipedia

Developed by Tubidy