Kindoe

Kindoe ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wandoe. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kindoe imehesabiwa kuwa watu 7340. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kindoe iko katika kundi la Kiekoidi linalofanana na lugha za Kibantu.


From Wikipedia, the free encyclopedia ยท View on Wikipedia

Developed by Tubidy