Kinengone

Kinengone ni lugha ya Kiaustronesia nchini Kaledonia Mpya inayozungumzwa na Wanengone. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kinengone imehesabiwa kuwa watu 8720. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinengone iko katika kundi la Kioseaniki.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy