Kingamo

Kingamo ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Wangamo. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kingamo imehesabiwa kuwa watu 60,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kingamo iko katika kundi la Kichadiki.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy