Kingan'gityemerri

Kingan'gityemerri ni lugha ya Kidaly nchini Australia inayozungumzwa na Wangan'gityemerri katika jimbo la Northern Territory. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kingan'gityemerri 180. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kingan'gityemerri kiko katika kundi la Kimurrinhpatta.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy