Kingete

Kingete ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Chad inayozungumzwa na Wangete. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kingete imehesabiwa kuwa watu 10,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kingete iko katika kundi la Kichadiki.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy