Kingurmbur

Kingurmbur (au Kingomburr) kilikuwa lugha ya asili nchini Australia iliyozungumzwa na Wangurmbur katika jimbo la Northern Territory. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kingurmbur, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kingurmbur hakilingani na lugha nyingine, ila labda Kiumbugarla.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy