Kiniellim

Kiniellim ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Chad inayozungumzwa na Waniellim. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kiniellim imehesabiwa kuwa watu 5160. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiniellim iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.


From Wikipedia, the free encyclopedia ยท View on Wikipedia

Developed by Tubidy