Kinila

Kinila ilikuwa lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia iliyozungumzwa na Wanila kwenye kisiwa cha Seram. Hakuna watu wawezao kuzungumza Kinila siku hizi, maana yake lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinila iko katika kundi la Kitimor-Babar.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy