Kinjen

Kinjen ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wanjen. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kinjen imehesabiwa kuwa watu 1800. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinjen iko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.


From Wikipedia, the free encyclopedia ยท View on Wikipedia

Developed by Tubidy