Kinkongho

Kinkongho ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Wankongho. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kinkongho imehesabiwa kuwa watu 2230. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kinkongho iko katika kundi la A10.


From Wikipedia, the free encyclopedia ยท View on Wikipedia

Developed by Tubidy