Kinnam

Kinnam ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wannam. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kinnam imehesabiwa kuwa watu 3000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinnam iko katika kundi la Kiekoidi linalofanana na lugha za Kibantu.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy