Kinoon

Kinoon (pia Kiserer-Noon) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Senegal inayozungumzwa na Wanoon. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kinoon imehesabiwa kuwa watu 32,900. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinoon iko katika kundi la Kiatlantiki.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy