Kinung

Kinung ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Vietnam inayozungumzwa na Wanung. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kinung imehesabiwa kuwa watu 969,000 nchini Vietnam. Pia kuna wasemaji wachache nchini Uchina na Laos. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kinung iko katika kundi la Kitai ya Kati.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy