Kinusa-Laut

Kinusa-Laut ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wanusa-Laut kwenye kisiwa cha Nusa Laut. Mwaka wa 1989 idadi ya Wanusa-Laut imehesabiwa kuwa watu 2230, lakini hakuwa na wasemaji wa Kinusa-Laut kama lugha yao ya kwanza, yaani ni kama lugha imelala usingizini. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinusa-Laut iko katika kundi la Kiseram.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy