Kinyam

Kinyam ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Wanyam. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kinyam imehesabiwa kuwa watu 100 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinyam iko katika kundi la Kichadiki.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy