Kinyeu

Kinyeu ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Uthai inayozungumzwa na Wanyeu. Idadi ya wasemaji wa Kinyeu imehesabiwa kuwa watu 200 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinyeu iko katika kundi la Kikatuiki.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy