Kipak-Tong

Kipak-Tong ni lugha ya Kiaustronesia nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wapak na Watong kwenye visiwa vya Pak na Tong. Mwaka wa 1977 idadi ya wasemaji wa Kipak-Tong imehesabiwa kuwa watu 970. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipak-Tong iko katika kundi la Kioseaniki.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy