Kipambia

Kipambia ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wapambia. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kipambia imehesabiwa kuwa watu 21,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipambia iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy